Na Marco Maduhu- Shinyanga
. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita, ameongoza zoezi la utoaji tuzo kwa shule zilizofanya vizuri kitaaluma mkoani humo 2025, huku akizitaka shule zilizofanya vibaya kuongeza juhudi na ubunifu ili kuinua viwango vya ufaulu.
Hafla hiyo imefanyika leo Februari 23, 2026, kwenye kikao cha wadau cha tathmini ya utekelezaji wa shughuli za elimu mkoani Shinyanga, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya Sekondari ya wasichana Shinyanga.
Post a Comment