Na COSTANTINE MATHIAS, Simiyu
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Simiyu, Mariamu Manyangu, amefariki dunia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa huo, Lumeni Mathias imeeleza kuwa msiba huo umetokea Machi 21, 2026 na kwamba Mwenyekiti huyo atakumbukwa kwa mchango wake katika ujenzi wa Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi na shughuli zingine za Maendeleo.

Post a Comment