WATUMISHI WALIOFARIKI KWA AJALI YA MAJI KIGOMA WAAGWA




Miili ya watu saba waliofariki kufuatia ajali ya Mtumbwi katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma, imepokelewa na kuagwa kwenye viwanja vya michezo eneo la Kazegunga tayari kwa ajili ya sala na Dua kisha kukabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya mazishi.













0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post