MWENYEKITI WA CCM TAIFA DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU DODOMA
0
on Mwenyekiti CCM Dk Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu Dodoma
wenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026.
إرسال تعليق