EMIRATES YATANGAZA KUSITISHA SAFARI DUBAI


Iran imeushambulia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dubai kwa drone ya kivita  Jumamosi March 07,2026, imeripoti Televisheni ya AlJazeera.


Tayari Mashirika ya ndege ya Kimataifa ikiwemo Emirates yametangaza kusititisha safari zote za ndege za kuingia na kutoka Dubai na kutoa tahadhari kwa Abiria kutotembelea eneo hilo hadi taarifa nyingine zitakapotolewa

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post